3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
đź“ŁNyumba nzuri Inapangishwa karibu na kituo cha mwendokasi,
đź“Ť KIMARA BUCHA
đź“Ť Kodi Tsh 500,000/= Ă—6 (miezi 6 bila kupungua)
_
___________
#Umbali wa dakika 3 tu kwa miguu kutoka kituo cha mwendokasi
• Vyumba 3 vya kulala (Kimojawapo Master)
• Sebule
• Jiko
• Public Toilet
* Inajitegeme UMEME
* Maji ndani
* Ndani ya Fensi
* Parking
* Zipo 3 kwenye fensi moja na juu ndio itakuwa wazi karibuni
#Note: Inakuwa wazi Tarehe 30/11/2024, kuona mazingira ya nje na kulipia ruksa
_______
#Malipo ya Dalali Nasoni ni 500,000/=
#Kupelekwa kuona ni 15,000/=
#0753172516