3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA
KODI. 500,000/=X6
NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK (5) KWAMIGUU
KUTOKA MWENDO KASI
=======
VYUMBA. VITATU. KIMOJAWAPO
NI MASTAR BEDROOM KUBWA SANA,
SEBULE KUBWA DINING
JIKO KUBWA FULL MAKABATI
NA PABLICK TOILET
MADILISHA SHATA
====
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK
NYUMBA INA. MABANDA KWA WALE WAFUGAJI RUKSA
NYUMBA HII ITAKUA WAZI MWISHO WA MWEZI HUU (5)
KUONA SEBULENI NA JIKONI RUKSA KAMA MPANGAJI ATAKUWEPO
KODI 500,000/X 6
=====
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI KAMA UKILIPIA NYUMBA
CONT
0683234124
0718367179