3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







500,000 x6. 0759151524
NI NYUMBA KUBWA SANA YA FAMILIA INAPANGISHWA
IPO KIMARA KOROGWE KILUNGILE
KODI NI 500X6
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA KIMOJA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA DAINING JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO
NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENS YA WAYA PARKING IPO
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI LUKU YAKE MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDANI
NJE IMESHAPIGWA RANGI MAFUNDI WAPO NDAN KUMALIZIA FINISHING YA NDAN
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT. 0679 956 863
0759151524
0781 418 437