3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


600,000 KIMARA TEMBONI
STAND ALONE HOUSE FOR RENT/ NYUMBA INAYOJITEGEMEA UMEME NA MAJI YENYEWE KWENYE. FENCE IPO YENYEWE INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
=
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom sebule kubwa jiko kubwa,
=
Kodi 600,000 Kwa mwezi ×6
===
Ndani ya fence parking IPO inajitegemea kila kitu, Umbali KM 2.Tu kutoka Morogoro Road
Inapigwalangi nje itawekwas
Peving block
Kali sana
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
0710614924
0688653940