3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KALI KARIBU NA BARABARA INAUZWA
BEI M 75 MAZUNGUMZO KIDOGO
UKUBWA WA ENEO SQM 400
🌟 NYUMBA HII HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA CHUNYE KABATI KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO ZURI LENYE MAKABATI
#DAININI
#STORE
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
HII NYUMBA INA MPANGAJI ANALIPA KODI 400K KWA MWEZI
#HII NYUMBA HAINA FENCE UPANDE MMOJA
BEI NI M75
💫💫 NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 UNATEMBEA DKK 15 AU UCHUKUE USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA 1000 UPO MUDA WOTE NDUGU MTEJA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 30K NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA SIMU