3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA MWISHO KM2 KUTOKA LAMI
--------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Dinning room
Jiko
Public toilet
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 300,000/=×6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3
----------
Contact
📞#0693_673010
📞#0676_218580 (WhatsApp)
#dalali_big_kimara 🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏