3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
HIZI NYUMBA ZIPO TATU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI LEO JIONI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGURE KLM 3 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI AU DALADALA UKISHUKA TU DK 5 UPO GETINI
0715949085
0782838336