3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM2 KUTOKA LAMI
VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA
JIKO LAKO LA NJEE
PUBLIC TOILET
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA
SERVICE CHARGE 15,000=
KODI 250,000/=×6
0679447338
0753454167