3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT  2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER KM1.5 KUTOKA LAMI .
VYUMBA 3 VYA KULALA  VYOTE  MASTER BEDROOM 
SEBLE KUBWA SANA 
DINNING ROOM 
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI SAFI
PUBLIC TOILET 
CHUMBANI KUNA AC
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO 
TILES 
GYPSUM 
SLIDE WINDOW 
NDANI YA FENCE 
PARKING SPACE KUBWA SANA 
KILA NYUMBA KUNA GETI LAKE
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 650,000/=×6
DALALI KIMARA SUKA LEONARD 
0719-092747
0683-387747
0765-494343




















