3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA INA PANGISHWA 400K
Location :- Kimara Stop Over dk 10
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO LA MAKABATI YA JUU NA CHINI
CHOO CHA FAMILIA
Kodi 400,000/= ร6
HAPA IPO YA JUU
IPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
MAJI MITA YAKO
UMEME LUKU YAKO
Service Charge 15,000/=
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.



















