3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


🏠NYUMBA NZURI SANA INAPANGISHWA NB;FENSI INAJENGWA
INAJITEGEMEA UMEME WAKE NA MAJI YANAFLOW NDANI
🔥NICE HOUSE, GOOD ENVIRONMENT
SIFA ZAKE
>VYUMBA VITATU VYA KULALA VIKUBWA , KIMOJA MASTER
>SEBULEE
>JIKO LINA
>CHOO CHA PUBLIC (NDANI)
>STORE
>FULL MAKABATI
#FENI
#LUKU YAKO MWENYEWE
🛣ENEO:KIMARA MWISHO
UMBALI KUTOKA BARABARANI KM 2 USAFIRI BAJAJI 700 NA BODABODA 1,000 MPKA KWENYE NYUMBA
💰BEI:LAKI 350,000/=×6
ILIPWE LAKI TATU NA NUSU KWA MWEZI KWA MUDA WA MIEZI 6
SERVICE CHARGE ELFU 15
Contact
0652472014
0754344786