3 Bedrooms House for Rent at Kinondoni, Dar Es Salaam


KARIBUNI SANAA NYUMBA IYO NI STEND ALONE
#
INAVYUMBA 3 SEBULE JIKO CHOO CHUMBA KIMOJA
#
NI MASTA INAPANGISHWA SH LAKI 9
#
KODI YA MIEZ 6 NA DALALI 7 IPO MAENEO YA KINONDONI
#
UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA
#
CHAJI YA KUPELEKWA NI SH 30000
#
KWA MAWASILIANO YA SM 0756999550
#
NAMBA YA WASP 0659848687