3 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa Kinyerezi Kwa Ditopile.
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Public toilet
- Full A/C
- Paving
- Parking
- Electric fence
- Wapangaji wawili kila mtu ana geti lake
Kodi 700,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga π 0688 412 890.