3 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa Kinyerezi Shule.
- Vyumba vitatu (vyote vina makabati ya nguo)
- Sebule
- Dinning
- Jiko lenye makabati
- Store
- Public toilet
- Maji 24/7
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Full A/C
- Paving
- Parking
Kodi 600,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Call or WhatsApp +255 688 412 890.