3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
House for rent stand alone inajitegemea geti yake Kali Sana nzuri
Location Mbezi mwisho km 1 usafiri bajaji na boda
Kodi 600000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 20000 kuona nyumba
Room 3 na moja ni Master bedroom
Sitting room kubwa Sana
kitchen with cabinet
Public toilet
Umeme luku yake
Maji dawasa ndan yanafloo
Fully A/ C ndani
Paving block
Parking space fency
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128