3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Apartments ya vyumba 3.zipo mbili kwenye fensi..
Kodi laki tano kwa mwezi. Malipo miezi 3.
Umbali kutoka lami ni mita 400 tu.
Nyumba ipo njia ya mbezi to goba kituo kwarobati.
Service charge 20000
Piga 0719190753