3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







(150,000X6)MBEZI KWA MSUGULI 2KM BAJAJI 1000
➖➖➖➖➖➖➖➖
NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAPANGISHWA BEI NI 150,000/= X 6
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE
#JIKO
#MAJI YAPO NJE, UMEME UPO
#DINNING
🚫❌NYUMBA HII VYUMBA NA SEBULE NI VYA WASTANI
BEI NI 150,000/= X 6
🇹🇿 NYUMBA HII IPO MBEZI MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
BODA 1500
BAJAJI 700
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024