3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







(400,000X6) MBEZIMWISHO DK 3 KWA MIGUU KUTOKA STAND YA MAGUFULI
➖➖➖➖➖➖
NYUMBA INAPANGISHWA IPO MBEZI MWISHO STENDI YA MAGUFURI
NYUMBA HII INASIFA ZIFUATAZO
✔️VYUMBA 3VITATUB VYA KULALA
✔️KIMOJA WAPO NI MASTER
✔️JIKO LENYE MAKABATI
✔️SEBULE KUBWA SANA
✔️DINNIG
✔️CHOO PUBLIC
✔️PAKING KUBWA SANAA
✔️VYUMBA VYOTE FULL AC
IPO JIRANI KABISA NA BARABARA UKIWA MBEZI MWISHO NI DAKIKA3 TU MPAKA KWENYE NYUMBA
UMEME WAKO
MAJI YAKO
TANK JUU
BEI YA NYUMBA HII NI LAKI4 KWA MWEZI MMOJA
ILIPIWE MIEZI6
KUONA NYUMBA HII NI 15000
DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPAPO NYUMBA
KALIBU NDUGU MTEJA
KUNA APATMET3 NDANI YA FENCE
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453