3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 250000X4 /5/6
=====
NYUMBA YA KUPANGA STENDI ALONI IPO YENYEWE KWENYE FENSI
=======
IPO MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA KITUO
======
UKISHUKA HAPO KWENDA KWENYE NYUMBA KUTEMBEA DAKIKA 10
BODA BODA 1000
=======
SIFA NYUMBA
INA VYUMBA VITATU VYA KILALA KIMOJA MASTA
SEBULE DAININGI JIKO
CHOO CHA PABILIKI
=======
MAJI DAWASKO
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
======0677370515
NINA MTU MBELE