3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA HII NZURI IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA ZIPO NNE TUU KWENYE FENSI MOJA BEI NI 800,000/= X 6
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#GARDEN
#ZIPO NYUMBA NNE KWENYE FENSI MOJA
NYUMBA ZIMEFUNGWA AC VYUMBANI NA SEBULENI NA MAJI YAMOTO VYOONI NA JIKONI
BEI NI 800,000/= X 6
NYUMBA HII IPO MBEZI STAND YA MAGUFULI
NI DAKIKA KUMI KWA KUTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA STAND YA MAGUFULI MBEZI
SWALA LA USAFI NA KUUDUMIA GARDEN PAMOJA NA MLINZI NI JUKUMU LA MMILIKI WA NYUMBA HLO HALIMUHUSU MPANGAJI
UKIPANDA BODA BODA NI 1000
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
===========
CONT
0683234124
0718367179