3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
📣STAND ALONE Kubwa Inapangishwa
MBEZI MWISHO Karibu Kabisa Na Round About Y Daraja La Magufuli Bus Terminal
📍 Kodi Tsh 600,000/= ×6
_
___________
#Umbali wa Dakika 5 tu kwenda Kituo cha Mabasi ya Endayo mikoani (Magufuli Bus Terminal)
• Vyumba 3 vya Kulala (Vyumba 2 kati ya hivyo ni Master)
• Sebule Kubwa
• Dinning
• Majiko Mawili (Ndani na Nje)
• Store
• Public Toilet Nzuri ya Ndani
* Iko kwenye Fensi yenyewe
* Parking Kubwa
* Mazingira Mazuri na Tulivu
* Nyumba bado Mpya
_______
#Malipo ya Dalali Nasoni ni 600,000/=
#Kupelekwa kuona ni 15,000/=
#0753172516