3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 800,000

NYUMBA HII NZURI IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA ZIPO NNE TUU KWENYE FENSI MOJA BEI NI 800,000/= X 6

🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#GARDEN

#ZIPO NYUMBA NNE KWENYE FENSI MOJA

NYUMBA ZIMEFUNGWA AC VYUMBANI NA SEBULENI NA MAJI YAMOTO VYOONI NA JIKONI

BEI NI 800,000/= X 6
LAKI NANE ..KODI YA MIEZI SITA ..MILIONI MBILI NA LAKI 4

NYUMBA HII IPO MBEZI STAND YA MAGUFULI

NI DAKIKA KUMI KWA KUTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA STAND YA MAGUFULI MBEZI

SWALA LA USAFI NA KUUDUMIA GARDEN PAMOJA NA MLINZI NI JUKUMU LA MMILIKI WA NYUMBA HLO HALIMUHUSU MPANGAJI

UKIPANDA BODA BODA NI 1000

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20

UKILIPIA UTAMLIPA DALALI LAKI 8

CALL 0677210673

James Msoka
dalali_james_ubungo_mbezi_goba
James Msoka

Similar items by location

Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

GHOLOFA LINAUZWA GHOLOFA LIPO MBEZI MSHIKAMANO GHOLOFA LINA VYUMBA V5 KATI YA HIVYO 3 MASTER GHOLOFA...

House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 25,000,000

NYUMBA INAUZWAA NYUMBA IPO MBEZI TEMBONI SALANGANYUMBA NI YA VYUMBA V4 SEBULE JIKO DAINING PUBLC CHU...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAAA ====== chumba Cha kulala kikubwa sebule kubwa na Choo...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAAA ====== chumba Cha kulala kikubwa sebule kubwa na Choo...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

APARTMENTS FOR RENTDATE LISTED: 29 / 10 / 2024ASKING PRICE: MILLION 1DIRECTION: MBEZI BEACH UPANDE W...