3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







STAND ALONE KUBWA SANA YA KIFAMILIA INA PANGISHWA
KODI 600,000X6
LOCATION: MBEZI STAND YA MAGUFULI
UMBALI KM 2
INA VYUMBA VITATU VIKUBWA SANA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA DINNING
JIKO NA STORE
PUBLIC NDANI NA NJEE
MAFENI KILA CHUMBA
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
NDUGU MTEJA PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343