3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 500,000

NYUMBA HII NZURI IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA NA ZIPO MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI

#BEI NI 500,000/= X 6

ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 01/11/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO

🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA
#KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#GARDEN

#ZIPO NYUMBA MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA

#BEI NI 500,000/= X 6

💫💫 NYUMBA HII IPO #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI

#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU

#USAFIRI NI BAJAJI NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0712348316WhatsAp
#0769680796☎
#0692937400

Dalali_Ambwene_Tabata_Ubungo
dalali_ambwene_tabata_ubungo
Dalali_Ambwene_Tabata_Ubungo

Similar items by location

3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

NYUMBA YENYE VYUMBA VITATU (3) TSHS.35 MILIONI TU, MBEZI-MSUMI.Hii nyumba maboresho yanayohitajika n...

1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT 3 TU KALI SANA ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI DK8 KWA MIGUU KUTOKA LAMI NA UKANYAGI TO...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 850,000

Apartment Ya Kisasa InapangishwaMahali: Mbezi Beach ChiniBei: 850,000 Kwa MweziMalipo: Miezi 6Zipo 2...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 400,000

#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA #VYUMBA_VWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA # APARTMENTS IKO-DAR-ES-SALAAM...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 1,000,000

#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA #VYUMBA_VWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA # APARTMENTS IKO-DAR-ES-SALAAM...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI _ MBEZI BEACH MAKONDE ______________________ INAFUNGW...

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

200,000 X6. 0759151524BEBA HELA HAIJAWAI TOKEAAPATIMENTI KALI SANA MPYAA KABISA. INAPANGISHWA ZIPO...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

250,000 x6. 0759151524APATIMENTI KALI SANA MPYAA KABISA. INAPANGISHWA ZIPO TATU KATIKA COMPAUND MOJ...

4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 550,000

550,000x6. 0759151524IPO WAZI TAYARI NI YA KUHAMIA TUU NDUGU MTEJANYUMBA YA KISASA INAYOJITEGEMEA Y...

1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 30,000

🇹🇿House For Rent #INAUZWA BEI Mil 35Maongezi YAPO 🤝📍 IPO MBEZI MWISHO MSUMI - Dar es salaam Tanz...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 900,000

*NYUMNA NZURI YA KISASA*INAPANGISHWA**KIBANDA CHA MKAA* 💥 *KODI YAKE 900,000K X6* 📌 *ILIPWE LAKI T...

4 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 420,000,000

NYUMBA KALI SANA INAUZWAKUNA MTEJA ALIIFUNGA BIASHARA AKITEGEMEA MKOPO WAKE MWISHO WAKE AMEFELI BIAS...

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

#VYUMBA_VIWILI INAPANGISHWA IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBEZI BEACH CHINI JULIANA______________KODI T...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 230,000

📲0677370515APARTMENT KALIII KABISA HIZI HAPA BEBA HELA AISEEE WAPANGAJI WAHINI TU📍WALE WA NYUMBA L...

2 Bedrooms Furnished House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

$ 850 per month

#2BEDROOMS (FULLY FURNISHED)APARTMENT INAPANGISHWA IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBEZI BEACH SHOPPERS__...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

APARTMENT NZURI SANA NA BEI MSELELEKO KABISA INAPANGISHWA BEI NI 180,000/= X 6 MAFUNDI WAPO KAZINI W...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

APARTMENT NZURI SANA NA BEI MSELELEKO KABISA INAPANGISHWA BEI NI 180,000/= X 6 MAFUNDI WAPO KAZINI W...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

APARTMENT NZURI SANA NA BEI MSELELEKO KABISA INAPANGISHWA BEI NI 180,000/= X 6 MAFUNDI WAPO KAZINI W...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

APARTMENT NZURI SANA NA BEI MSELELEKO KABISA INAPANGISHWA BEI NI 180,000/= X 6 MAFUNDI WAPO KAZINI W...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

HAYA WALE WA JIRANI NA LAMI KABISALocation: MBEZI KWA MSUGURIDistance: DAKIKA 3 LAMIAPARTMENT NZURI ...