3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA KALI YA KISASA INA PANGISHWA KODI TSH 500000x6
INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STEND ALONE MBEZI MWISHO DK6 KWA MIGUU KUTOKA LAMI. UKANYAGI TOPE LAMI SAFI
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Master kubwa sana
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina wekwa makabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
Service charge 20,000/=
Kodi 500,000/=Γ6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
----------
What saapp number 0689-547258