3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







STAND ALONE YA NGUVU YA FAMILIA KALI SANA
400,000X3) MBEZI MWISHO NJIANYA MARAMBA
UMBALI WA DAKK 5 KUTEMBEA KUTOKA KITUONI
NYUMBA INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖➖➖➖
VYUMBA VITATU VYAKULALA VYUMBA VYOTE NI (MASTER) VINA CHOO NDANI
SEBULE KUBWA SAN , DAININI KUBWA, JIKO KUBWA SANA LA KIBABE, STORE
HII NYUMBA IPO YENYEWE INAPANGISHWA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI PIA YANAFLOW NDANI, PIA KUNA TANK JUU RESERVE TANK
➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI:(400,000X3)
➖➖➖➖➖➖➖➖
HUDUMA
LUKU YAKO
METRE YA MAJI YAKO
MAJI YANATOKA CHOONI
PARKING IPO
➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 20
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖
PIGA CM. 0789049684