3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







Nyumba Inayojitegemea(Stand Alone) Inapangishwa
Mahali : Mbezi Beach(Almas Street), Dar-Es-Salaam, TanzaniaπΉπΏ
Ina :
πΈοΈ Vyumba Vitatu Vya Kulala
πΈοΈ Sebule
πΈοΈ Jiko la Kisasa lenye Makabati
πΈοΈ Parking Space
-: Choo Cha Public
-: Servant Kota
Ina Ac
Inajitegemea kwenye Umeme na Maji
Kodi : 1,000,000 Tsh