3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 450,000

NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 450,000/= X 6 MAONGEZI YAPO

🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#MAKABATI YA NGUO VYUMBANI
#HEATER
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#PARKING KUBWA

PIA KUNA SERVANT COTER YA CHUMBA NA SEBULE NA CHOO

BEI NI 450,000/= X 6

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO MBEZI MWISHO NJIA ILIYOWEKWA LAMI MPYA YA KUELEKEA MAKABE KUPITIA SANT ANSI PRIMARY SCHOOL AU MADUKANI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI AU DALADALA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU
0712656027

Upendo Tarimo
dalali_tarimo_ubungo_kimara
Upendo Tarimo

Similar items by location

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

Apartment House for rent 2roomsPrice 1,200,000KwamweziMalipo miezi 6Location mbezi beach jogoo Call/...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

MASTER BEDROOM KUBWA NA JIKO LAKE INAPANGISHWA MBEZI KWA YUSUPH #120KChumba kikubwa cha kulala jiko ...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

MASTER BEDROOM KUBWA NA INAPANGISHWA MBEZI KWA YUSUPH #120KChumba kikubwa cha kulala na choo Kodi 1...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

MASTER BEDROOM KUBWA NA INAPANGISHWA MBEZI KWA YUSUPH #120KChumba kikubwa cha kulala na choo Kodi 1...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

MASTER BEDROOM KUBWA NA JIKO LAKE INAPANGISHWA MBEZI KWA YUSUPH #120KChumba kikubwa cha kulala jiko ...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

MASTER BEDROOM KUBWA NA INAPANGISHWA MBEZI KWA YUSUPH #120KChumba kikubwa cha kulala na choo Kodi 1...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 547,258

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #VYUMBA...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

MASTER BEDROOM KUBWA NA JIKO LAKE INAPANGISHWA MBEZI KWA YUSUPH #120KChumba kikubwa cha kulala jiko ...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

MASTER BEDROOM KUBWA NA INAPANGISHWA MBEZI KWA YUSUPH #120KChumba kikubwa cha kulala na choo Kodi 1...

Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 370,000,000

KIWANJA KINAUZWAKIPO ~ DAR ES SALAAM-TzMAHALI - MBEZI BEACH JK NYERERE _____________________________...

4 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000,000

HOUSE FOR SALEβ€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”AT MBEZI BEACH β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”-BEI B1.2 β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”-MAONGEZI YAPO MENGI SANAβ€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

(120,000X6) MBEZIMWISHO KWA YUSUPH DK 6 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–MASTER BEDROOM KUBWA...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6 🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #VYUM...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

800000 Γ—6: STAND ALONE NZURI KUBWA SANA INAPANGISHWA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA WAPO NI MAS...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 2,500,000

Stand alone House for rent 6roomsPrice 2,500,000Kwamwezi Malipo miezi 6Location mbezi beach masana C...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

800000 Γ—6: STAND ALONE NZURI KUBWA SANA INAPANGISHWA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA WAPO NI MAS...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

πŸ‡ΉπŸ‡ΏHOUSE FOR RENT #STAND ALONE Inajitegemea Yenyewe Kwenye Fence Location: MBEZI KWA MSUGURI Distan...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

800/000 STEND ALONE NZURI KUBWA SANA INAPANGISHWA IPO MBEZI KWA MSUGULI DK 4KUTEMBEA KWA MGUU====IN...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 600,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI MWISHO (Magufu...

Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 130,000,000

KIWANJA SAFI KABISA KINA UZWA MBEZI MWISHO NYUMA YA STEND YA MKOWA -------SQMT 1245_______HATI MILI...