3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(250,000X6)MBEZI KWA MSUGURI
➖➖➖➖➖➖➖➖
STAND ARONE INAPANGISHWA IPO KWAMSUGURI NI 250,000X6
HII NI KWA WALE WANAOPENDA KUKAA KWENYE NYUMBA NZURI TULIVU NA USALAMA WA KUTOSHA
✔️VYUMBA VITATU
✔️ VIWILI MASTER
✔️SEBULE KUBWA
✔️JIKO
✔️CHOO CHA PUBLIC NDANI
NYUMBA IPO KWAMSUGURI
UMBALI WA KUTOKA STAND YA MWENDOKASI NI KM 1.7
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI YA PEKEAKE INAJITEGEMEA KILA KITU UMEME NA MAJI
BEI NI TSH 250,000 KWA MWEZI ILIPWE KODI YA MIEZI X6
SERVICE CHARGE 15
ILIPWE PESA YA DALALI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI UFANYAPO MALIPO YA HII NYUMBA
GARI INAFIKA MPKA KWENYE NYUMBA
NB: NYUMBA HII PIA INA MAJI YAKISIMA NA DAWASA PIA
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU ILI KUEPUKA USUMBUFU NDUGU
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453