3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 20,000

NIMEISHUSHA BEI SASA 💥650K X6 STAND ALONE INAPANGISHWA MBEZI MWISHO KARIBU KABISA NA ROUND ABOUT YA DARAJA LA MAGUFULI BUS TERMINAL..

NYUMBA KUBWA INAYOJITEGEMEA NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA

💥KODI YAKE 650K X6

UMBALI KUTOKA KITUO CHA MBEZI MAGUFULI TERMINAL NI DAKIKA 5 TU KWA MIGUU..

SIFA ZA NYUMBA::--

VYUMBA VITATU VYA KULALA NA VIWILI KATI YA HIVYO, NI MASTER BEDROOMS SEBULE KUBWA, DINNING MAJIKO MAWILI, NDANI NA NJE PAMOJA NA STORE MAKABATI SAFI, NA PUBLIC TOILET NZURI YA NDANI

NYUMBA BADO NI MPYA KABISA,

TILES JIPSUM, SLIDE WINDOW NDANI YA FENCE YA PEKE YAKE PARKING KUBWA.

UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI

ILIPWE SHILINGI LAKI SITA NA NUSU KWA MWEZI NA MUDA WA MALIPO NI MIEZI SITA

CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA

SERVICE CHARGE NI TZS.20000
_

0713661530_0783661530_0612661531_0745593030

Mr.shebby dalali kimarakorogwe
mr.shebby_dalali_kimarakorogwe
Mr.shebby dalali kimarakorogwe

Similar items by location

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

Apartment house for rent Kali Sana nzuri Location Mbezi kwa msuguli dakika 12 kutembea mpaka home Ko...

4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 650,000 per month

House for rent stand alone inajitegemea geti yake Kali Sana nzuri Location Mbezi kwa msuguli dakika ...

4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 650,000 per month

House for rent stand alone inajitegemea geti yake Kali Sana nzuri Location Mbezi kwa msuguli dakika ...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

Apartiment house for rent Kali Sana nzuri Location Mbezi kwa msuguli km 2 usafiri bajaji na boda Kod...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

Apartiment house for rent Kali Sana nzuri Location Mbezi kwa msuguli km 2 usafiri bajaji na boda Kod...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

:𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 300k#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: MBEZI MPIJI#𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

:𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 300k#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: MBEZI MPIJI#𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

——NIMEISHUSHA BEI SASA 💥650K X6 STAND ALONE INAPANGISHWA MBEZI MWISHO KARIBU KABISA NA ROUND ABOUT...

Sh. 200,000

#OFA #OFA #OFA NIMEISHISHA KODI KUTOKA 250X6 HADI 200X6NI NYUMBA NZR INAPANGISHWA .IPO KWENYE FENCE ...