3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAUZWA PAMOJA NA SERVANT COTER YAKE YA CHUMBA MASTER NA SEBULE YA KISASA
🌟 NYUMBA HII YA KUUZWA INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
#NYUMBA HII INA MPANGAJI ANALIPA KODI LAKI 3 KWA MWEZI
#PIA KUNA SERVANT COTER YA CHUMBA MASTER NA SEBULE
UKUBWA WA KIWANJA CHAKE NI UPANA NI 25 METERS NA UREFU NI 30 METERS ( 25/30 METERS)
DOCUMENTS: MAUZIANO HALALI YA KISHERIA NA SERIKALI YA MTAA / ENEO LIMEPIMWA
BEI NI MILIONI 90 MAONGEZI YAPO NDUGU MTEJA
💫💫 NYUMBA HII YA KUUZWA IPO MBEZI BARABARA YA KUELEKEA MPIGI MAGOHE NJIA INAYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3 NA USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE USAFIRI UNATEMBEA DK 3 TUU UPO KWENYE NYUMBA
NOTE:- ENEO LIMEPIMWA NA KWENYE NYUMBA KUNA MPANGAJI ANALIPA SHILINGI LAKI 3 KWA MWEZI
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20
CALL
O627977383