3 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam


0679 997610
🏡 NYUMBA YA KISASA INAPANGISHWA - STAND ALONE HOUSE
📍 Eneo: Mbweni
🔹 Maelezo ya Nyumba:
🛏️ Vyumba 3 vya kulala (kimoja ni master)
🏘️ Ina Boys Quarter (chumba cha nje)
🍽️ Jiko lenye makabati
💡 Umeme wa uhakika (Full Power)
🌳 Bustani nzuri (Full Garden)
❄️ Air Conditioning kila chumba (Full A/C)
💰 Kodi kwa Mwezi: TZS 2,500,000
📞 Wasiliana kwa maelezo zaidi piga simu O74799763p au 0679 997610