3 Bedrooms House for Rent at Sakina, Arusha


NYUMBA INAPANGISHWA SAKINA ARUSHA
Inajitegemeaa
🔹️Ina Vyumba Vitatu Vya kulala moja ni master
🔹️Ina Jiko lenye makabati
🔹️Ina sebule na dairining
🔹️Ina Parking
🔹️Inajitegemea
🔺️Bei 350,000/= Kwa Mwezi
Call 0758105801