3 Bedrooms House for Rent at Sinza, Dar Es Salaam


Nyumba Ya Kifamilia Inapangishwa
Mahali: Sinza Mugabe
Bei: 500,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
Zipo 4 Kwenye Compound
☑️Nyumba Lami
☑️Vyumba 3, Viwili Ni Master
☑️Sebule, Jiko & Choo
☑️Fensi & Parking
☑️Inajitegemea Umeme Na Maji
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa Dalali