3 Bedrooms House for Rent at Sinza, Dar Es Salaam


IYO NYUMBA NI MZULI KWA MATUMIZI
YA HOFISI AU KUISHI ATA FAMILIA 2
INAPANGISHWA ML 2,500,000 KWA
MWEZI NA MALIPO KUANZIA MIEZI (6)
NYUMBA INA JUMLA YA VYUMBA VYA
KULALA 6 NA VYOTE NI MASTA MUNDO
WA NYUMBA ILIVYO. CHINI INA VYUMBA
3 VYOTE MASTA INA SEBULE. DAININGI
MAKABATI VYUMBANI NA JIKONI. INA
PABLIKI PIA NA JUU NAKO PIA KUNA
VYUMBA 3 VYOTE MASTA INA SEBULE
DAININGI JIKO MAKABATI VYUMBANI
NA JIKONI NA CHOO CHA PABLIKI. NYUMBA
INA UWEZO. WA KUISHI FAMILIA 2 AU KUFANYA. HOFISI UKAWA UNAISHI APO APO
PAKINGI KUBWA NYUMBA INA AC KOTE PIA
CCTV KAMELA NYUMBA IPO SINZA
KWENDA KUKAGUA. NYUMBA TUNACHAJI
SH 20000 BILA KUSAAU MALIPO YA DALALI
KODI YA MWEZI UNALIPA BAADA YA KULIPA
NYUMBA KWA MAELEZO PIGA SIM
0715422099
0746218111
0784422099