3 Bedrooms House for Rent at Sombetini, Arusha


Nyumba ya bedroom 3 ina pangishwa Arusha sombetini
Ina bedroom 3 yenye kabati
Ina Master room
Ina sitting room
Ina dining room
Ina kitchen yenye kabati
Ina heater system
Ina public toilet
Ina parking space kubwa
Ina maji ya Auwsa 24 hrs
Stand alone
Meter:10 toka main road
Bei laki: 600000 kwa mwezi
Location Arusha sombetini
Kwa mwiitaji piga number
0753503791/0784457400