3 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa sh 400000 kwa mwezi ina vyumba 3 chumba kimojawapo master, sebule, dining room, public toilet,jiko, fence, parking, umeme na maji unajitegemea, reserve water tank,maji masaa 24, location tabata kinyerezi zimbili dar es salaam Tanzania
Muhitaji piga sim
☎️ Calls/Whatsapp 0768682919
0653233641
Service survey change tsh 20000
1 month to agent