3 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI YA KUPANGISHA
#Location: tabata kimanga
Umbali WA kutoka stendi kimanga dakika 10 kwa miguu
SIFA ZAKE
-vyumba vitatu
- Sebule jiko na choo ndani kimoja master
-
Umeme LUKU inajitegemea na Maji DAWASA Yanaflow Ndani
Nyumba inashea wannendani ya fence
Panking kubwa
KODI YAKE Ts. 350000 / malipo miezi sita
Service Charge 10,000/-
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347