3 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inapangishwa Tabata Baracuda Cha'ngombe.
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Maji 24/7
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Water reserve tank
- Paving
- Electronic fence
- Wapangaji wawili
Kodi 500,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.