3 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Mwisho. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba vitatu
- Sebule
- Dinning
- Jiko lenye makabati
- Store
- Public toilet
- Water reserve tank
- Paving
- Parking
- Fence
Kodi 600,000/=.
Muhitaji piga ๐ 0688 412 890.