3 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam
Nyumba mpya inapangishwa Tabata.
Vyumba vipo juu.
Sebule na jiko vipo chini.
- Vyumba vitatu (viwili master)
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Maji unajitegemea
- Umeme unajitegemea
- Paving anaweka
- Parking
- Fence
- Wapangaji wawili
- Dakika 3 kutoka kituoni
Kodi 800,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 📞 0688 412 890.