3 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Mwisho. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Store
- Dinning
- Public toilet
- Mafeni
- Maji 24/7
- Parking
- Paving
- Fence
Kodi 300,000/=.
Muhitaji piga simu 0688 412 890.