3 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Stand alone inayojitegemea ndani ya fency nzuri inafaa kwa office Nk
Location ubungo External road
Kodi 600000 kwa mwezi na dalali mwezi mmoja Service charge 15000 kuona nyumba
Sifa za nyumba
Room 3 na moja ni master bedroom
Sitting room
Daning room
Kitchen
Store
Public toilet
Paving block
Parking space kubwa
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128