3 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU km1. 5
NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA NA KIMOJA NI
Master bedroom
Sebule kubwa
Dining room
Jiko la kisasa
Public toilet
Luku yako & Maji yana flow ndani
Full tilles & gypsum
Parking yakutosha
Kodi 350,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 4,5,6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.