3 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


NEW STAND ALONE FOR RENT AT UBUNGO EXTENO MAJI CHUMVI
NI NYUMBA NZURI KABISA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA
LOCATION UBUNGO EXTENO ๐ MAJI CHUMVI KM 2 KUTOKA MAIN ROD
UMBALI KUTOKA KITUO CHA DALADALA NI DK.5 KUTEMBEA KWA MIGUU
KODI NI TZS 700K X6
SIFA ZAKE
VYUMBA VITATU KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI PUBLIC TOILET STORE KUBWA
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM FULL AIC NDANI YA FENCE PARKING KUBWA FULL PERVING BLOCKS ๐ซ
NYUMBA INAJITEGEMEA KILA KITU NDANI YA FENCE YA PEKEE YAKE UKIWEMO UMEME NA MAJI
#UKITOKEA KIMARA KOROGWE UNAFIKA PIA
MAJI DAWASA YANATIRIRIKA NDANI MASAA YOTE PIA KUNA RESERVE TANK
CHANGAMKIA FURSA HII NDUGU MTEJA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA NI TZS.15000
UKIIPENDA NYUMBA NA KUFANYA MALIPO UTAMLIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
CONTACT:: 0672 673363 >>> 0763 219307