3 Bedrooms House for Rent at Ukonga, Dar Es Salaam
NYUMBA STAND ALONE INAPANGISHWA UKONGA MKOLEMBA INA,,
VYUMBA VITATU, VIWILI NI MASTER,
SEBULE KUBWA,
JIKO KUBWA,
DINING KUBWA,
NA PUBLIC TOILET
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI
INAJITEGEMEA YENYEWE KILA KITU.
KODI YA NYUMBA NI 250,000 KWA MWEZI..
GHARAMA ZA KUPELEKWA KUONA NYUMBA 20,000.
0785918259...