3 Bedrooms House for Rent at Uwanjani, Songwe







NYUMBA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA
LOCATION:
#KIMARA_TEMBONI UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 10 KWA MIGUU
SIFA ZAKE:
#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA
#KIMOJA MASTER KIKUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINING TABLE
#JIKO ZURI LENYE MAKABATI
#STORE KAMA CHUMBA
#PACKING SPACE KUBWA
#UWANJANI PAVING BLOCK
#ZIPO MBILI NDANI YA FENCE
#HII MOJA NDIO IPO WAZI
#UMEME LUKU YAKE
#MAJI MITA YAKE
#KODI 500,000 X 4
#KUONA ELFU 15 MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0715949085
0782838336