3 Bedrooms House for sale at Bunju, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA
IPO BUNJU MIANZINI
UKITOKEA MJINI IPO KULIA
KUTOKEA MBWENI NI JIRANI NA
KUTOKA BAGAMOYO RD
NI NYUMBA YA TATU KUTOKA LAMI
HIYO NILIYOITAJA.
VYUMBA VITATU NA KIMOJA NI MASTER BEDROOM
JIKO STORE NA PUBLIC TOILET.
PLOT UKUBWA SQM 700
HATI MPYA YA WIZARA.
BEI ML 320 NA ANAWEKA FANITURE UNAUZIWA NA FANITURE ZAKE UTAINGIA NA NGUO ZAKO TU.