3 Bedrooms House for sale at Buswelu, Mwanza
Nyumba hii inauzwa Iko Buswelu Mwanza Nyuma ya mkuu wa wilaya inavyumba vitatu vya kulala kimoja master bedroom jiko dining pabric toilet kiwanja kina hatua 45 kwa 25 Bei ml35 mazungumzo yapo Tupigie 0686887297 au 0767346478