3 Bedrooms House for sale at Chanika, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA CHANIKA MWISHO BEI MILIONI 18
====================
VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER
INASTING ROOM HUDUMA ZOTE ZINAPATIKANA UKUBWA WA ENEO SQM 350
INAFREM 1 MBELE
UMEME MAJI YAPO
NJOO TUKUHUDUMIE KWA UWAMINIFU MKUBWA
SERVICE CHAJI 20
WOTE MNAKARIBISHWA
MTEJA SILIASI PIGA SIMU USITUME MSG #068491594 #0716974073